MUOGOPE MUNGU AWEZAYE KULEFUSHA SIKU ZAKO MWABUDU YEYE TU

WELCOME

WELCOME TO MY WEBSITE AND LETS SHARE WHAT YOU HAVE BY CLICKING COMMENTS TO ANY INTERESTED ARTICLES AND LEAVE YOUR COMMENTS THERE STAY BLESSED

Sunday, September 27, 2015

MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI, BALI KARAMA YA MUNGU NI UZIMA WA MILELE KATIKA KRISTO YESU.

BWANA YESU asifiwe. Karibu sana kwenye neno la uzima. ''Kwa maana Wewe, BWANA, U mwema, Umekuwa tayari kusamehe, Na mwingi wa fadhili, Kwa watu wote wakuitao. -Zaburi 86:5.'' Kuna Watu Leo Mioyo Yao Inatamani Sana Kumpokea BWANA YESU Ila Miili Yao Inakataa Na Wao Wanaitii Miili Yao Ambayo Huwatendesha Dhambi Kila Siku. Ndugu Mwili Wako Usipokuwa Makini Unaweza Kukupeleka Motoni, Usikubali Mwili Wako Ukufanye Umkosee MUNGU. BWANA YESU Anakupenda Sana Na Hataki Kabisa Uende Motoni, Ndugu Mpokee Leo Na Atakuandika Jina Lako Kwenye Kitabu Cha Uzima. ''Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. -Mithali 28:13'' Ndugu zangu ni heri kujua kwamba -Hakuna Mbingu Ya Wazinzi Wala Waasherati, -Hakuna Mbingu Ya Wachawi Wala Waganga Wa Kienyeji Hata Kama Wanajiita Tiba Mbadala, -Hakuna Mbingu Ya Makahaba Wala Majambazi, -Hakuna Mbingu Ya Waongo Wala Matapeli, -Hakuna Mbingu Ya Wachonganishaji Wala Wala Rushwa, -Hakuna Mbingu Ya Waabudu Sanamu Wa Mafisadi, -Hakuna Mbingu Ya Waabudu shetani Wala Wanaomtumikia shetani Kwa Uimbaji, -Hakuna Mbingu Ya Walevi Wala Wasoma Bao. Mathayo 6:33-Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.. Make Money at : http://bit.ly/best_tips Kama Unataka Mbingu Mpokee BWANA YESU Na Acha Dhambi Zote. Kataa Dhambi, Ogopa Dhambi, Ikimbie Dhambi Na Usitende Dhambi. BWANA YESU Anakuita Leo, Ukiisikia Sauti Yake Mpokee Na Atakuandika Jina Lako Kwenye Kitabu Cha Uzima. Kiburi cha kumkataa BWANA YESU kitawaangamiza wengi sana. ''Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa. -Mithali 29:23'' Baada Ya Kifo Ni Hukumu, Anayetenda Dhambi Mwache Aendelee Na Dhambi Zake Na Wewe Unayejitakasa Kwa YESU Ongeza Maombi Ya Kujitakasa Ndugu Yangu, Siku Ya BWANA I Karibu, Umependwa Na YESU Ndugu Yangu, Ng'ng'ania Uzima Wa BWANA YESU, Wanaomkataa BWANA YESU Hawana Nafasi Hata Moja Kwenye Ufalme Wake, Ndugu Yangu YESU KRISTO Akikuita Itika Maana Ndiye Pekee Mwenye Uzima Wako Wa Milele. MUNGU Amewaficha Ufahamu Huu Wenye Hekima Za Kidunia Na Amewafunulia Watu Wa Kawaida Tu Na Wanyonge Wale Ambao Wako Tayari Kumtii, Wakati Mwingine Kibinadamu Wateule Wa KRISTO Huonekana Kama Hawana Akili Timamu Lakini Hao Hao Ndio Wanasababisha Dunia Iwepo Leo, BWANA Anawavumilia Watenda Dhambi Ili Wabadilike Na Kumpokea Yeye. Ndugu Zangu Wokovu Ni Sasa Tena Leo. YESU KRISTO Anakupenda Sana Na Yuko Tayari Kukuokoa Kama Tu Ukimhitaji Leo, Ndugu Nakuomba Mtake YESU Akuokoe Leo. MUNGU anatoa ahadi nzuri sana kwa wote watakaoamua kumpokea YESU KRISTO anasema. '' Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena. -Waebrania 18:12'' Sio Lazima Kumpa YESU Maisha Yako Ila Haiwezekani Kuingia Uzima Wa Milele Kama Huna YESU. BWANA YESU anamhakikishia kila atakayempa maisha yake na kuishi maisha matakatifu katika yeye anasema ''Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. -Yohana 10:28'' Ndugu Yangu Kataa Kutumiwa Na shetani Kwenye Mipango Yake Ya Kuhakikisha Watu Hawaendi Uzima Wa Milele. Mpokee YESU KRISTO Leo Ili Akupe Uzima Wa Milele. shetani Ni Wa Jehanamu Na YESU KRISTO Ni Wa Mbinguni, Walioamua Kuwa Na shetani Kupitia Kutenda Dhambi Hao Ni Wa Kuzimu Lakini Tuliookolewa Na BWANA YESU Sisi Ni Wa Mbinguni Tena Wa Uzima Wa Milele(Waefeso 2:8 ,Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha MUNGU; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.). YESU Anakuita Kila Siku Ndugu Ili Tu Usiangamie Bali Akuokoe, Ndugu Kama Ukipata Kusikia Sauti Ya MUNGU Kupitia Watumishi Wake Basi Na Hakika Atakuokoa. BWANA YESU Anakupenda Sana. BWANA YESU mwenyewe kwa kinywa chake anasema ''Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami. -Ufunuo 3:20'' Ndugu Zangu, MUNGU Hataleta Malaika Kuwahubiri Ndipo Muokoke, Wala MUNGU Hataleta Mitume Na Manabii Wakuhubiri Ndipo Umpokee YESU KRISTO Bali MUNGU Anawatumia Hawa Hawa Ambao Wewe Unawaona Wa Kawaida, MUNGU Anawatumia Hao Hao Ambao Unauwezo Hata Wa Kuwatukana Lakini Ipo Siku Ya Kutoa Hesabu, Ipo Siku Ya Kusema Ningejua. Ndugu Zangu Wokovu Ni Sasa, Mpokee BWANA YESU. ''Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya MUNGU ni uzima wa milele katika KRISTO YESU BWANA wetu. -Warumi 6:23'' Dhambi ina mshahara ambao ni mauti yaani jehanamu. Parapanda Italia, Kila Mtu Atalipwa Kama Matendo Yake Yalivyokuwa, Waliokataa YESU Siku Hiyo Watamkubali Lakini Watakuwa Wamechelewa.BWANA YESU Atawapeleka Uzima Wa Milele Wateule Wake Na Watakaobaki Wataenda Kwao Jehanamu. Ndugu Unasubiri Nini Kuokoka? '' Na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu; mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.-Waefeso 4:23-24 Kwa sasa naishia hapo, MUNGU akitupa nafasi tutajifunza tena siku nyingine.na kama hujampokea BWANA YESU muda wa kumpokea ni leo wala sio kesho, amua leo na atakuandika jina lako katika kitabu cha uzima na utaanza kuukulia wokovu kwa mafundisho kanisani. MUNGU ana makusudi kabisa na wewe, hataki upotelee motoni anataka uende uzimani aliko KRISTO BWANA.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu