MUOGOPE MUNGU AWEZAYE KULEFUSHA SIKU ZAKO MWABUDU YEYE TU

WELCOME

WELCOME TO MY WEBSITE AND LETS SHARE WHAT YOU HAVE BY CLICKING COMMENTS TO ANY INTERESTED ARTICLES AND LEAVE YOUR COMMENTS THERE STAY BLESSED

Friday, August 2, 2013

Huo Mwendelezo wa furaha kama unavyojua

 Tarehe hii 26/05/2013 kwetu ilitukumbusha kama familia kwani pia ilikuwa ni Mhimu saana kwani ndo ilikuwa siku ya kutimiza mwaka mzima toka tufunge ndoa Yetu takatifu kwani furaha kwetu iliongezeka maradufu ukizingatia pia ndo siku tuliyomshkru Mungu kwa Ubarikio wa mtoto wetu hivyo ilikuwa Shangwe na Furaha ya kutosha Ashukuriwe Mungu afanyaye Makubwa kwa Watu wake.
Posted by Picasa

Siku ya Mahafali ya CCT--RUCO

 Ni kweli ni jambo lisilo na kificho chochote kwani mambo yalienda vyema sana kiasi ambacho kila mwenye pumzi alimsifu Mungu bila uoga kwani ni jambo la kumshkru Mungu tulianza kama mchezo lakini Mungu akatufanikisha tukamaliza vyema tukiwa na afya zetu hivyo tunamshkru Mungu wa Mbinguni maana tungali na safari Mungu tunakuomba utusaidie Tumalize vyema kama maneno kutoka katika kitabu cha wafilipi 3:12
Kukaza Mwendo Ili Kufikia Lengo
"Si kwamba nimekwisha kufikia, au
kwamba nimekwisha kuwa mkamilifu, la hasha!
Bali nakaza mwendo ili nipate kile ambacho kwa
ajili yake, nimeshikwa na Kristo Yesu.
13 Ndugu zangu, sijihesabu kuwa nimekwisha kushika. Lakini ninafanya jambo moja: Ninasahau mambo yale yaliyopita, nakaza mwendo kufikia yale yaliyo mbele.
14 Nakaza mwendo nifikie ile alama ya ushindi iliyowekwa ili nipate tuzo ya mwito mkuu wa Mungu ambao nimeitiwa huko juu mbinugni katika Kristo Yesu.
15Hivyo sisi sote tuliokuwa kiroho tuwaze jambo hili, hata mkiwaza mengine katika jambo lo lote, Mungu ataliweka wazi hilo nalo.
16 Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia."
Posted by Picasa

Shukrani Zetu


 Mathayo 18:1Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu
na kumwuliza “Je, nani aliye mkuu
kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?”
2
Yesu akamwita mtoto mdogo na
kumsimamisha katikati yao.
3
Naye akasema:
‘‘Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa
kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika
Ufalme wa Mbinguni. 4
Kwa hiyo mtu yeyote
ajinyenyekezaye kama huyu mtoto, ndiye aliye
mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni.
5
“Ye yote amkaribishaye mtoto mdogo
kama huyu kwa jina langu, anikaribisha mimi.
Posted by Picasa

UBARIKIO WA MTOTO WETU NEEMA

Mathayo 19:13-15 
Kisha watoto wadogo wakaletwa kwa
Yesu ili aweke mikono yake juu yao na
awaombee. Lakini wanafunzi wake
wakawakemea wale waliowaleta.
14
Yesu akasema, “Waacheni watoto
wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa
maana Ufalme wa Mbinguni ni wa wale walio
kama hawa.
15
Naye akaweka mikono yake juu
yao, akaondoka huko.
Posted by Picasa