MUOGOPE MUNGU AWEZAYE KULEFUSHA SIKU ZAKO MWABUDU YEYE TU

WELCOME

WELCOME TO MY WEBSITE AND LETS SHARE WHAT YOU HAVE BY CLICKING COMMENTS TO ANY INTERESTED ARTICLES AND LEAVE YOUR COMMENTS THERE STAY BLESSED

Friday, August 2, 2013

Siku ya Mahafali ya CCT--RUCO

 Ni kweli ni jambo lisilo na kificho chochote kwani mambo yalienda vyema sana kiasi ambacho kila mwenye pumzi alimsifu Mungu bila uoga kwani ni jambo la kumshkru Mungu tulianza kama mchezo lakini Mungu akatufanikisha tukamaliza vyema tukiwa na afya zetu hivyo tunamshkru Mungu wa Mbinguni maana tungali na safari Mungu tunakuomba utusaidie Tumalize vyema kama maneno kutoka katika kitabu cha wafilipi 3:12
Kukaza Mwendo Ili Kufikia Lengo
"Si kwamba nimekwisha kufikia, au
kwamba nimekwisha kuwa mkamilifu, la hasha!
Bali nakaza mwendo ili nipate kile ambacho kwa
ajili yake, nimeshikwa na Kristo Yesu.
13 Ndugu zangu, sijihesabu kuwa nimekwisha kushika. Lakini ninafanya jambo moja: Ninasahau mambo yale yaliyopita, nakaza mwendo kufikia yale yaliyo mbele.
14 Nakaza mwendo nifikie ile alama ya ushindi iliyowekwa ili nipate tuzo ya mwito mkuu wa Mungu ambao nimeitiwa huko juu mbinugni katika Kristo Yesu.
15Hivyo sisi sote tuliokuwa kiroho tuwaze jambo hili, hata mkiwaza mengine katika jambo lo lote, Mungu ataliweka wazi hilo nalo.
16 Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia."
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

YOUR WORMY WELCOME TO SAY ANYTHING TO ME IN MY WEBSITE