Mathayo 18:1Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu
na kumwuliza “Je, nani aliye mkuu
kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?”
2
Yesu akamwita mtoto mdogo na
kumsimamisha katikati yao.
3
Naye akasema:
‘‘Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa
kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika
Ufalme wa Mbinguni. 4
Kwa hiyo mtu yeyote
ajinyenyekezaye kama huyu mtoto, ndiye aliye
mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni.
5
“Ye yote amkaribishaye mtoto mdogo
kama huyu kwa jina langu, anikaribisha mimi.
No comments:
Post a Comment
YOUR WORMY WELCOME TO SAY ANYTHING TO ME IN MY WEBSITE