BWANA YESU asifiwe.
Karibu sana kwenye neno la uzima.
''Kwa maana Wewe, BWANA, U mwema, Umekuwa tayari kusamehe, Na mwingi wa
fadhili, Kwa watu wote wakuitao. -Zaburi 86:5.''
Kuna Watu Leo Mioyo Yao Inatamani Sana Kumpokea BWANA YESU Ila Miili Yao
Inakataa Na Wao Wanaitii Miili Yao Ambayo Huwatendesha Dhambi Kila
Siku.
Ndugu Mwili Wako Usipokuwa Makini Unaweza Kukupeleka Motoni, Usikubali
Mwili Wako Ukufanye Umkosee MUNGU. BWANA YESU Anakupenda Sana Na Hataki
Kabisa Uende Motoni, Ndugu Mpokee Leo Na Atakuandika Jina Lako Kwenye
Kitabu Cha Uzima.
''Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha
atapata rehema. -Mithali 28:13''
Ndugu zangu ni heri kujua kwamba
-Hakuna Mbingu Ya Wazinzi Wala Waasherati,
-Hakuna Mbingu Ya Wachawi Wala Waganga Wa Kienyeji Hata Kama Wanajiita
Tiba Mbadala,
-Hakuna Mbingu Ya Makahaba Wala Majambazi,
-Hakuna Mbingu Ya Waongo Wala Matapeli,
-Hakuna Mbingu Ya Wachonganishaji Wala Wala Rushwa,
-Hakuna Mbingu Ya Waabudu Sanamu Wa Mafisadi,
-Hakuna Mbingu Ya Waabudu shetani Wala Wanaomtumikia shetani Kwa
Uimbaji,
-Hakuna Mbingu Ya Walevi Wala Wasoma Bao.
Mathayo 6:33-Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo
yote mtazidishiwa..
Make Money at : http://bit.ly/best_tips
Kama Unataka Mbingu Mpokee BWANA YESU Na Acha Dhambi Zote. Kataa Dhambi,
Ogopa Dhambi, Ikimbie Dhambi Na Usitende Dhambi. BWANA YESU Anakuita
Leo, Ukiisikia Sauti Yake Mpokee Na Atakuandika Jina Lako Kwenye Kitabu
Cha Uzima.
Kiburi cha kumkataa BWANA YESU kitawaangamiza wengi sana.
''Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu
ataheshimiwa. -Mithali 29:23''
Baada Ya Kifo Ni Hukumu, Anayetenda Dhambi Mwache Aendelee Na Dhambi
Zake Na Wewe Unayejitakasa Kwa YESU Ongeza Maombi Ya Kujitakasa Ndugu
Yangu, Siku Ya BWANA I Karibu, Umependwa Na YESU Ndugu Yangu, Ng'ng'ania
Uzima Wa BWANA YESU, Wanaomkataa BWANA YESU Hawana Nafasi Hata Moja
Kwenye Ufalme Wake, Ndugu Yangu YESU KRISTO Akikuita Itika Maana Ndiye
Pekee Mwenye Uzima Wako Wa Milele. MUNGU Amewaficha Ufahamu Huu Wenye
Hekima Za Kidunia Na Amewafunulia Watu Wa Kawaida Tu Na Wanyonge Wale
Ambao Wako Tayari Kumtii, Wakati Mwingine Kibinadamu Wateule Wa KRISTO
Huonekana Kama Hawana Akili Timamu Lakini Hao Hao Ndio Wanasababisha
Dunia Iwepo Leo, BWANA Anawavumilia Watenda Dhambi Ili Wabadilike Na
Kumpokea Yeye. Ndugu Zangu Wokovu Ni Sasa Tena Leo. YESU KRISTO
Anakupenda Sana Na Yuko Tayari Kukuokoa Kama Tu Ukimhitaji Leo, Ndugu
Nakuomba Mtake YESU Akuokoe Leo.
MUNGU anatoa ahadi nzuri sana kwa wote watakaoamua kumpokea YESU KRISTO
anasema.
'' Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
-Waebrania 18:12''
Sio Lazima Kumpa YESU Maisha Yako Ila Haiwezekani Kuingia Uzima Wa
Milele Kama Huna YESU.
BWANA YESU anamhakikishia kila atakayempa maisha yake na kuishi maisha
matakatifu katika yeye anasema ''Nami nawapa uzima wa milele; wala
hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
-Yohana 10:28''
Ndugu Yangu Kataa Kutumiwa Na shetani Kwenye Mipango Yake Ya
Kuhakikisha Watu Hawaendi Uzima Wa Milele. Mpokee YESU KRISTO Leo Ili
Akupe Uzima Wa Milele. shetani Ni Wa Jehanamu Na YESU KRISTO Ni Wa
Mbinguni, Walioamua Kuwa Na shetani Kupitia Kutenda Dhambi Hao Ni Wa
Kuzimu Lakini Tuliookolewa Na BWANA YESU Sisi Ni Wa Mbinguni Tena Wa
Uzima Wa Milele(Waefeso 2:8 ,Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya
imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha MUNGU; wala
si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.). YESU Anakuita Kila
Siku Ndugu Ili Tu Usiangamie Bali Akuokoe, Ndugu Kama Ukipata Kusikia
Sauti Ya MUNGU Kupitia Watumishi Wake Basi Na Hakika Atakuokoa. BWANA
YESU Anakupenda Sana.
BWANA YESU mwenyewe kwa kinywa chake anasema ''Tazama, nasimama
mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango,
nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami. -Ufunuo
3:20''
Ndugu Zangu, MUNGU Hataleta Malaika Kuwahubiri Ndipo Muokoke, Wala
MUNGU Hataleta Mitume Na Manabii Wakuhubiri Ndipo Umpokee YESU KRISTO
Bali MUNGU Anawatumia Hawa Hawa Ambao Wewe Unawaona Wa Kawaida, MUNGU
Anawatumia Hao Hao Ambao Unauwezo Hata Wa Kuwatukana Lakini Ipo Siku Ya
Kutoa Hesabu, Ipo Siku Ya Kusema Ningejua. Ndugu Zangu Wokovu Ni Sasa,
Mpokee BWANA YESU.
''Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya MUNGU ni uzima
wa milele katika KRISTO YESU BWANA wetu. -Warumi 6:23''
Dhambi ina mshahara ambao ni mauti yaani jehanamu.
Parapanda Italia, Kila Mtu Atalipwa Kama Matendo Yake Yalivyokuwa,
Waliokataa YESU Siku Hiyo Watamkubali Lakini Watakuwa Wamechelewa.BWANA
YESU Atawapeleka Uzima Wa Milele Wateule Wake Na Watakaobaki Wataenda
Kwao Jehanamu. Ndugu Unasubiri Nini Kuokoka?
'' Na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu; mkavae utu mpya, ulioumbwa
kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.-Waefeso 4:23-24
Kwa sasa naishia hapo, MUNGU akitupa nafasi tutajifunza tena siku
nyingine.na kama hujampokea BWANA YESU muda wa kumpokea ni leo wala sio
kesho, amua leo na atakuandika jina lako katika kitabu cha uzima na
utaanza kuukulia wokovu kwa mafundisho kanisani. MUNGU ana makusudi
kabisa na wewe, hataki upotelee motoni anataka uende uzimani aliko
KRISTO BWANA.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu