![<center>JESUS IS COMING SOON BE READY</center>](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtDeWe4fKgf0Xkr0GIgjTn1o1QUld9S5VeLblSUZFkb8CgPID25DO0Eg6C1ayN7qN0rBt6F197o8fuWv1w4THYGjzOqLbWzSwMIDgnqcqENVF4HpS7kKekRwWrPHIU2dUVG_2uhXg6hElr/s1228/lafaf.jpg)
GOD HAS BEEN GOOD TO OUR FAMILY "IN GOD WE TRUST" WE DO HOPE ALSO GOD HAS BEEN GOOD TO YOU TOO. HENCE PRAISE HIM GLORIFY HIS NAME AND ALSO WHILE READING SOME CONTENT IN THIS WEBSITE GOD IS GOING TO BLESS YOU IN ALL ASPECT. "AND ALSO I NEED MUCH YOU COMMENTS FOR ANY WEAKNESS AND ALSO SOME STRENGTHS FOR ME TO WORK UPON YOUR WARMLY WELCOME."
MUOGOPE MUNGU AWEZAYE KULEFUSHA SIKU ZAKO MWABUDU YEYE TU
WELCOME
Friday, August 2, 2013
Huo Mwendelezo wa furaha kama unavyojua
Siku ya Mahafali ya CCT--RUCO
Kukaza Mwendo Ili Kufikia Lengo
"Si kwamba nimekwisha kufikia, au
kwamba nimekwisha kuwa mkamilifu, la hasha!
Bali nakaza mwendo ili nipate kile ambacho kwa
ajili yake, nimeshikwa na Kristo Yesu.
13 Ndugu zangu, sijihesabu kuwa nimekwisha kushika. Lakini ninafanya jambo moja: Ninasahau mambo yale yaliyopita, nakaza mwendo kufikia yale yaliyo mbele.
14 Nakaza mwendo nifikie ile alama ya ushindi iliyowekwa ili nipate tuzo ya mwito mkuu wa Mungu ambao nimeitiwa huko juu mbinugni katika Kristo Yesu.
15Hivyo sisi sote tuliokuwa kiroho tuwaze jambo hili, hata mkiwaza mengine katika jambo lo lote, Mungu ataliweka wazi hilo nalo.
16 Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia."
Shukrani Zetu
Mathayo 18:1Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu
na kumwuliza “Je, nani aliye mkuu
kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?”
2
Yesu akamwita mtoto mdogo na
kumsimamisha katikati yao.
3
Naye akasema:
‘‘Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa
kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika
Ufalme wa Mbinguni. 4
Kwa hiyo mtu yeyote
ajinyenyekezaye kama huyu mtoto, ndiye aliye
mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni.
5
“Ye yote amkaribishaye mtoto mdogo
kama huyu kwa jina langu, anikaribisha mimi.
UBARIKIO WA MTOTO WETU NEEMA
Kisha watoto wadogo wakaletwa kwa
Yesu ili aweke mikono yake juu yao na
awaombee. Lakini wanafunzi wake
wakawakemea wale waliowaleta.
14
Yesu akasema, “Waacheni watoto
wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa
maana Ufalme wa Mbinguni ni wa wale walio
kama hawa.
15
Naye akaweka mikono yake juu
yao, akaondoka huko.
Subscribe to:
Posts (Atom)