Huyu Mungu ni Mwema sana tumeiona tena siku nyingine ambayo Mungu ameifanya kwa Mtoto wetu Neema kufikisha miaka minne sifa na utukufu zikurudie Eee Mungu maana matendo yako yatisha kama nini hakika wewe ni Mungu wetu tunakubariki kwa namana unavyowalinda watoto wetu wakikua katika wema wako.
Happy Birthday mtoto wetu Nehemiah kwa kufikisha mwaka mmoja hakika sifa na utukufu zikurudie Mungu wetu uliye juu.
Hapo juu mama wa mtoto wetu Neema Ambaye Mungu alitupatia tarehe 06/12/2012 Tunamshukru sana Mungu kwani bila Mungu sisi tusingeweza kufanya lolote kabsa.
NEEMA MTAKA zawadi yetu kutoka kwa Mungu aliye hai
Picha zinazoonekana hapa chini ni mtukio ya Neema kufikisha miaka miwili hakika Mungu ni muweza wa vyote na kila jambo tunapaswa kumshukru kwa wema wake anaotutendea kila siku na hapo ilikuwa tarehe 06/12/2014 sifa na Utukufu ni mungu wetu.
SSSSSSSSSS
ReplyDeleteutukufu ni kwa Mungu
ReplyDelete