![]() |
Hapo juu Mwl Mtaka akifundisha katika chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) Kabla ya yeye kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCT RUCO |
![<center>JESUS IS COMING SOON BE READY</center>](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtDeWe4fKgf0Xkr0GIgjTn1o1QUld9S5VeLblSUZFkb8CgPID25DO0Eg6C1ayN7qN0rBt6F197o8fuWv1w4THYGjzOqLbWzSwMIDgnqcqENVF4HpS7kKekRwWrPHIU2dUVG_2uhXg6hElr/s1228/lafaf.jpg)
GOD HAS BEEN GOOD TO OUR FAMILY "IN GOD WE TRUST" WE DO HOPE ALSO GOD HAS BEEN GOOD TO YOU TOO. HENCE PRAISE HIM GLORIFY HIS NAME AND ALSO WHILE READING SOME CONTENT IN THIS WEBSITE GOD IS GOING TO BLESS YOU IN ALL ASPECT. "AND ALSO I NEED MUCH YOU COMMENTS FOR ANY WEAKNESS AND ALSO SOME STRENGTHS FOR ME TO WORK UPON YOUR WARMLY WELCOME."
MUOGOPE MUNGU AWEZAYE KULEFUSHA SIKU ZAKO MWABUDU YEYE TU
WELCOME
Thursday, December 8, 2011
TAMANI KUMTANGAZA YESU PAMOJA NA MTUMISHI WA MUNGU (Mwl MTAKA)
Thursday, September 29, 2011
Tuesday, September 27, 2011
tumpende Mungu
Tujifunze biblia/Bible Teaching
Wednesday, February 9, 2011
Monday, January 10, 2011
SOMA MAHALI HAPA ILI UONE MUZIGO NILIONAO KWA AJILI YA WATU WOTE
NATAMANI MENGI SANA KATIKA UTUMISHI WANGU NATAMANI TUOMBE PAMOJA ILI MUNGU WETU ANIINUE NIMTUMIKIE KATIKA MAISHA YANGU YOTE MOYO WANGU UNAWIVU NA ULIMWENGU WOTE ILI UOKOLEWE KABISA NAKUPA MZIGO WEWE KUNIOMBEA POPOTE ULIPO ILI NITENDE SAWA SAWA NA MAPENZI YA MUNGU UBARIKIWE
MUHUBIRI 3:1-14 ANASEMA
Wakati Kwa Ajili Ya Kila Jambo Kuna wakati kwa ajili ya kila jambo,
nayo majira kwa kila tendo chini ya mbingu:
2 Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa,
wakati wa kupanda na wakati wa kung'oa
yaliyopandwa,
3 wakati wa kuua na wakati wa kuponya,
wakati wa kubomoa, na wakati wa kujenga,
4 wakati wa kulia na wakati wa kucheka,
wakati wa kuomboleza na wakati wa
kucheza,
5 wakati wa kutawanya mawe na wakati wa
kukusanya mawe,
wakati wa kukumbatia na wakati wa
kutokukumbatia,
6 wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza,
wakati wa kuweka na wakati wa kutupa,
7 wakati wa kurarua na wakati wa kushona,
wakati wa kunyamaza na wakati wa
kuzungumza,
8 wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia,
wakati wa vita na wakati wa amani.
9Mfanyakazi anapata faida gani kutokana na taabu yake? 10Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu. 11Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, wala hawawezi kutambua yale ambayo Mungu amefanya tangu mwanzo hadi mwisho. 12Ninajua kwamba hakuna kitu bora kwa wanadamu kuliko kuwa na furaha na kutenda mema wakati wanapoishi. 13Tena ni karama ya Mungu kila mtu apate kula na kunywa na kujiburudisha kwa mema katika kazi yake yote. 14Ninajua kwamba kila kitu anachokifanya Mungu kitadumu milele, hakuna kinachoweza

Subscribe to:
Posts (Atom)