MUOGOPE MUNGU AWEZAYE KULEFUSHA SIKU ZAKO MWABUDU YEYE TU

WELCOME

WELCOME TO MY WEBSITE AND LETS SHARE WHAT YOU HAVE BY CLICKING COMMENTS TO ANY INTERESTED ARTICLES AND LEAVE YOUR COMMENTS THERE STAY BLESSED

Monday, January 10, 2011

SOMA MAHALI HAPA ILI UONE MUZIGO NILIONAO KWA AJILI YA WATU WOTE

NATAMANI MENGI SANA KATIKA UTUMISHI WANGU NATAMANI TUOMBE PAMOJA ILI MUNGU WETU ANIINUE NIMTUMIKIE KATIKA MAISHA YANGU YOTE MOYO WANGU  UNAWIVU NA ULIMWENGU WOTE ILI UOKOLEWE KABISA NAKUPA MZIGO  WEWE KUNIOMBEA POPOTE ULIPO ILI NITENDE SAWA SAWA NA MAPENZI YA MUNGU UBARIKIWE

MUHUBIRI 3:1-14 ANASEMA
Wakati Kwa Ajili Ya Kila Jambo Kuna wakati kwa ajili ya kila jambo,
nayo majira kwa kila tendo chini ya mbingu:
2 Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa,
wakati wa kupanda na wakati wa kung'oa
yaliyopandwa,
3 wakati wa kuua na wakati wa kuponya,
wakati wa kubomoa, na wakati wa kujenga,
4 wakati wa kulia na wakati wa kucheka,
wakati wa kuomboleza na wakati wa
kucheza,
5 wakati wa kutawanya mawe na wakati wa
kukusanya mawe,
wakati wa kukumbatia na wakati wa
kutokukumbatia,
6 wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza,
wakati wa kuweka na wakati wa kutupa,
7 wakati wa kurarua na wakati wa kushona,
wakati wa kunyamaza na wakati wa
kuzungumza,
8 wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia,
wakati wa vita na wakati wa amani.
9Mfanyakazi anapata faida gani kutokana na taabu yake? 10Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu. 11Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, wala hawawezi kutambua yale ambayo Mungu amefanya tangu mwanzo hadi mwisho. 12Ninajua kwamba hakuna kitu bora kwa wanadamu kuliko kuwa na furaha na kutenda mema wakati wanapoishi. 13Tena ni karama ya Mungu kila mtu apate kula na kunywa na kujiburudisha kwa mema katika kazi yake yote. 14Ninajua kwamba kila kitu anachokifanya Mungu kitadumu milele, hakuna kinachoweza


Wednesday, December 22, 2010

GOD IS GOOD ALL THE TIME








THANK YOU GOD BECAUSE YOUR VERY WONDERFUL
We love you all our dear friends and we bag you to proceed praying for us. Please we bag you in the name of Jesus and also we need your company on this aspect we believe in God that everything is possible. Philippians 4:13  

WHATEVER YOU DO REMEMBER THAT YO CANT HIDE ANYTHING BEFORE GOD



MUNGU WETU NI WA MIPANGO

NATAMANI TUSHIRIKIANE PAMOJA KATIKA KUMTANGAZA YESU KRISTO